CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 23
Tambua nomino iliyolinganishwa kwa usahihi na wingi wake.
From Kiswahili — Monitoring Learners Progress 2025 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi, Umoja na Wingi
23. Tambua nomino iliyolinganishwa kwa usahihi na wingi wake.
- AMtume - watume
- BDereva - wadereva
- CChura - machura
- DMama - akina mama
Answer
D. Mama - akina mama
Wingi wa mama ni akina mama; mtume – mitume, dereva – madereva, chura – vyura.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Neno mtoto litaandikwaje katika ukubwa?Question 24
- Andika wingi wa: Mwasuli huu unapendeza.Question 25
- Chagua jozi inayotumia silabi za sauti f na v.Question 26
- Zifuatazo ni nomino za pekee isipokuwaQuestion 27
- Onyesha kielezi katika sentensi ifuatayo: Wanafunzi wale wazuri wameandika insha vizuri.Question 28
- Kati ya nomino hizi, ipi isiyo katika ngeli ya U-ZI?Question 29