naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 22

Unapotaka kuunda keki na mikate utatumia njia gani ya upishi?

From Kiswahili — Monitoring Learners Progress 2025 (Set 9) · 1 mark · Topic: Msamiati, Mapishi

22. Unapotaka kuunda keki na mikate utatumia njia gani ya upishi?

  1. Akuoka
  2. Bkukaanga
  3. Ckubanika
  4. Dkutokosa

Answer

A. kuoka

Keki na mikate huokwa.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test