CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 20
Chagua jibu sahihi la pengo 20.
From Kiswahili — Monitoring Learners Progress 2025 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi, Kujaza Mapengo
Jaza nafasi zilizoachwa kwenye kifungu kifuatacho kwa jibu lifaalo zaidi.
Mchezo __16__ ni soka au __17__ hupendwa na watu wengi sana duniani. Mchezo huo huchezwa na wachezaji __18__ kila upande. Kila timu hujaribu inavyoweza ili kuwa mshindi. Timu inayoshinda ni ile ambayo huwa na mabao __19__ kushinda nyingine. Iwapo hakuna timu inayoshinda, husemwa kuwa timu zimeenda __20__.
20. Chagua jibu sahihi la pengo 20.
- Abure
- Bsare
- Covyo
- Dnunge
Answer
B. sare
Timu zinapolingana kwa mabao zimetoka sare.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Jibu maswali yafuatayo kulingana na maagizo. Ni nomino ipi kati ya zifuatazo haipatikani katika ngeli ya LI-LI?Question 21
- Unapotaka kuunda keki na mikate utatumia njia gani ya upishi?Question 22
- Tambua nomino iliyolinganishwa kwa usahihi na wingi wake.Question 23
- Neno mtoto litaandikwaje katika ukubwa?Question 24
- Andika wingi wa: Mwasuli huu unapendeza.Question 25
- Chagua jozi inayotumia silabi za sauti f na v.Question 26