naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 18

Chagua jibu sahihi la pengo 18.

From Kiswahili — Monitoring Learners Progress 2025 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi, Kujaza Mapengo

Jaza nafasi zilizoachwa kwenye kifungu kifuatacho kwa jibu lifaalo zaidi.
Mchezo __16__ ni soka au __17__ hupendwa na watu wengi sana duniani. Mchezo huo huchezwa na wachezaji __18__ kila upande. Kila timu hujaribu inavyoweza ili kuwa mshindi. Timu inayoshinda ni ile ambayo huwa na mabao __19__ kushinda nyingine. Iwapo hakuna timu inayoshinda, husemwa kuwa timu zimeenda __20__.

18. Chagua jibu sahihi la pengo 18.

  1. Akumi na moja
  2. Bishirini na mbili
  3. Cishirini na mawili
  4. Dishirini na wawili

Answer

A. kumi na moja

Kila timu ya soka ina wachezaji kumi na moja uwanjani.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test