CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision 2026 (Booklet 3)
Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · Revision 2026 (Booklet 3) · 50 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 50 questions with answers
- Question 1: Tatizo kuu lililokuwa likiwakumba wakazi wa kijiji cha Mwangaza niAnswer: A. ukosefu wa maji safi
- Question 2: Athari mojawapo ya tatizo hilo kwa watoto niAnswer: C. walikosa kuhudhuria masomo ipasavyo
- Question 3: Mto uliokuwa karibu na kijiji ulipataje uchafu?Answer: C. Kutokana na mvua iliyoleta tope na takataka
- Question 4: Serikali ya kaunti ilifanya nini kusaidia?Answer: D. Ilishirikiana kuchimba visima
- Question 5: 'Kuteka maji' ni mfano waAnswer: B. semi
- Question 6: Ni jambo lipi linasababisha uchafuzi wa mito?Answer: A. Utupaji wa taka kwenye mito
- Question 7: Kwa nini wazazi walihangaika?Answer: B. Walitumia muda mwingi kutafuta maji badala ya kufanya kazi zao za kawaida
- Question 8: Chagua isiyo maliasili kati ya zifuatazo.Answer: D. Mifereji
- Question 9: Misitu huchangia katika mambo yafuatayo ilaAnswer: B. kutupa chakula, kuumiza wanyama
- Question 10: Kunawiri kama ilivyopigiwa mstari ina maana yaAnswer: D. kukua na kuendelea vyema
- Question 11: Chagua jibu linaloonyesha utunzaji wa maliasili.Answer: A. Kuelimisha jamii namna ya kuyatunza
- Question 12: Mmomonyoko wa udongo una hasara gani?Answer: A. Uhaba wa chakula baada ya mchanga kubebwa
- Question 13: Mada mwafaka ya kifungu hiki ni gani?Answer: C. Matumizi bora ya maliasili
- Question 14: Zuhura alikuwa na ujuzi wa kazi gani?Answer: D. Kutengeneza samani
- Question 15: Kwa nini mwanzoni watu walimdharau?Answer: B. Alikuwa mchanga asiye na duka kubwa
- Question 16: Wateja wake walibadilika vipi baada ya kuona kazi yake?Answer: B. Waligeuka kuwa wateja waliomwamini
- Question 17: Shule ya msingi ilimwajiri Zuhura kufanya nini?Answer: C. Kutengeneza madawati
- Question 18: Zuhura alijenga nini kuwasaidia vijana?Answer: D. Karakana ndogo
- Question 19: Kulingana na Zuhura ni nani anayeweza kufanikiwa?Answer: C. Mtu yeyote bora ana bidii
- Question 20: Toa methali mwafaka kwa kifungu hiki.Answer: A. Bidii hulipa
- Question 21: Chagua jibu lifaalo katika nambari ya 21Answer: C. Sijambo
- Question 22: Kamilisha methali ya nambari 22.Answer: A. utapata mwana si wako
- Question 23: Malalamishi ya Katana yalikuwa kuhusu nini?Answer: A. Uchafuzi wa mazingira
- Question 24: Uchafuzi wa mazingira ungesababisha haya yote ilaAnswer: C. maendeleo
- Question 25: Takataka zinafaa kufanyiwa nini?Answer: C. Kutiwa kwenye mabiwi
- Question 26: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 26.Answer: B. ifaavyo
- Question 27: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 27.Answer: C. kubwa
- Question 28: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 28.Answer: C. aliopewa
- Question 29: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 29.Answer: A. na
- Question 30: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 30.Answer: C. mabaya
- Question 31: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 31.Answer: A. bora
- Question 32: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 32.Answer: B. yeyote
- Question 33: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 33.Answer: C. ili
- Question 34: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 34.Answer: D. nyingine
- Question 35: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 35.Answer: A. uraibu
- Question 36: Tumia kiashiria kifaacho. Majiko ___ ndiyo yalitumiwa janaAnswer: A. haya
- Question 37: Bainisha kiwakilishi nafsi kwenye sentensi. Nitaanza kazi yangu sasa, yeye atafanya kesho.Answer: D. yeye
- Question 38: Petro ni sungura. Sentensi hii imetumia mbinu gani ya lugha?Answer: C. Sitiara
- Question 39: Chagua wingi wa sentensi hii. Ufa wa ukuta huu ni mpana.Answer: D. Nyufa za kuta hizi ni pana
- Question 40: Chagua kundi la nomino ambata.Answer: D. Askari jela, mwanaserere, kionjamchuzi
- Question 41: Ng'ombe wa jirani amepewa nyasi na maji. Alama ya uakifishaji kwenye nomino ng'ombe niAnswer: D. ritifaa
- Question 42: Chagua orodha ya maneno yenye sauti 'g' na 'gh'.Answer: A. Gamu, ghamu
- Question 43: Chagua kundi lenye vitenzi pekee.Answer: B. lima, aliwahi, jibidiisha
- Question 44: Nomino zifuatazo zipo katika ngeli gani? kijana, chura, kipepeo, kiwaviAnswer: C. A-WA
- Question 45: Ukubwa wa; mji huu una nyumba ndefu niAnswer: C. Jiji hili lina jumba refu.
- Question 46: Chagua kundi linaloonyesha vivumishi vya sifa pekee.Answer: A. Mjanja, bivu, bora
- Question 47: Nilimsomea kitabu kwa furaha- kanushaAnswer: C. Sikumsomea kitabu kwa furaha
- Question 48: Chagua sentensi iliyo katika wakati wa mazoea.Answer: C. Mwanafunzi huyu hukamilisha kazi yake
- Question 49: Kinyume cha kitenzi anika, pika niAnswer: D. anua, pakua
- Question 50: Tumia "enye" kwa usahihi kukamilisha sentensi. Mkate ___ siagi una pendeza.Answer: C. wenye