CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 47
Nilimsomea kitabu kwa furaha- kanusha
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanushaji
47. Nilimsomea kitabu kwa furaha- kanusha
- ANilimsomea kitabu hakufurahi
- BSijamsomea kitabu kwa furaha
- CSikumsomea kitabu kwa furaha
- DSitamsomea kitabu kwa furaha
Answer
C. Sikumsomea kitabu kwa furaha
Wakati uliopita -li- hukanushwa -ku-: sikumsomea.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua sentensi iliyo katika wakati wa mazoea.Question 48
- Kinyume cha kitenzi anika, pika niQuestion 49
- Tumia "enye" kwa usahihi kukamilisha sentensi. Mkate ___ siagi una pendeza.Question 50
- Tatizo kuu lililokuwa likiwakumba wakazi wa kijiji cha Mwangaza niQuestion 1
- Athari mojawapo ya tatizo hilo kwa watoto niQuestion 2
- Mto uliokuwa karibu na kijiji ulipataje uchafu?Question 3