CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 48
Chagua sentensi iliyo katika wakati wa mazoea.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nyakati
48. Chagua sentensi iliyo katika wakati wa mazoea.
- AAngeniletea kitabu ningedurusu
- BAmezingatia usafi wa sehemu za umma
- CMwanafunzi huyu hukamilisha kazi yake
- DNitakusaidia ukinisaidia
Answer
C. Mwanafunzi huyu hukamilisha kazi yake
Kiambishi hu- huonyesha mazoea.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Kinyume cha kitenzi anika, pika niQuestion 49
- Tumia "enye" kwa usahihi kukamilisha sentensi. Mkate ___ siagi una pendeza.Question 50
- Tatizo kuu lililokuwa likiwakumba wakazi wa kijiji cha Mwangaza niQuestion 1
- Athari mojawapo ya tatizo hilo kwa watoto niQuestion 2
- Mto uliokuwa karibu na kijiji ulipataje uchafu?Question 3
- Serikali ya kaunti ilifanya nini kusaidia?Question 4