CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 46
Chagua kundi linaloonyesha vivumishi vya sifa pekee.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vivumishi
46. Chagua kundi linaloonyesha vivumishi vya sifa pekee.
- AMjanja, bivu, bora
- BHiki, hizo, zile, huyu
- CYeye, mimi, sisi, wao
- DWote, wengi, wenyewe
Answer
A. Mjanja, bivu, bora
Mjanja, bivu na bora hueleza sifa.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Nilimsomea kitabu kwa furaha- kanushaQuestion 47
- Chagua sentensi iliyo katika wakati wa mazoea.Question 48
- Kinyume cha kitenzi anika, pika niQuestion 49
- Tumia "enye" kwa usahihi kukamilisha sentensi. Mkate ___ siagi una pendeza.Question 50
- Tatizo kuu lililokuwa likiwakumba wakazi wa kijiji cha Mwangaza niQuestion 1
- Athari mojawapo ya tatizo hilo kwa watoto niQuestion 2