CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 45
Ukubwa wa; mji huu una nyumba ndefu ni
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukubwa
45. Ukubwa wa; mji huu una nyumba ndefu ni
- AJiji hili lina jumba ndefu.
- BJiji hili lina nyumba ndefu.
- CJiji hili lina jumba refu.
- DJiji hii ina jumba refu.
Answer
C. Jiji hili lina jumba refu.
Mji → jiji, nyumba → jumba (LI-YA), ndefu → refu.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua kundi linaloonyesha vivumishi vya sifa pekee.Question 46
- Nilimsomea kitabu kwa furaha- kanushaQuestion 47
- Chagua sentensi iliyo katika wakati wa mazoea.Question 48
- Kinyume cha kitenzi anika, pika niQuestion 49
- Tumia "enye" kwa usahihi kukamilisha sentensi. Mkate ___ siagi una pendeza.Question 50
- Tatizo kuu lililokuwa likiwakumba wakazi wa kijiji cha Mwangaza niQuestion 1