CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 38
Petro ni sungura. Sentensi hii imetumia mbinu gani ya lugha?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Tamathali za Usemi
38. Petro ni sungura. Sentensi hii imetumia mbinu gani ya lugha?
- ANahau
- BTashbihi
- CSitiara
- DTanakali
Answer
C. Sitiara
Kumwita mtu sungura moja kwa moja bila "kama" ni sitiara.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua wingi wa sentensi hii. Ufa wa ukuta huu ni mpana.Question 39
- Chagua kundi la nomino ambata.Question 40
- Ng'ombe wa jirani amepewa nyasi na maji. Alama ya uakifishaji kwenye nomino ng'ombe niQuestion 41
- Chagua orodha ya maneno yenye sauti 'g' na 'gh'.Question 42
- Chagua kundi lenye vitenzi pekee.Question 43
- Nomino zifuatazo zipo katika ngeli gani? kijana, chura, kipepeo, kiwaviQuestion 44