naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 39

Chagua wingi wa sentensi hii. Ufa wa ukuta huu ni mpana.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi

39. Chagua wingi wa sentensi hii.
Ufa wa ukuta huu ni mpana.

  1. ANyufa ya kuta hii ni mipana
  2. BNyufa za kuta hizi ni mipana
  3. CNyufa za kuta hii ni pana
  4. DNyufa za kuta hizi ni pana

Answer

D. Nyufa za kuta hizi ni pana

Ufa → nyufa, ukuta → kuta, huu → hizi, mpana → pana.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test