CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 40
Chagua kundi la nomino ambata.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Nomino
40. Chagua kundi la nomino ambata.
- ABiwi, bunda, shungi, umati
- BPesa, unga, maisha, maji
- CFuraha, chuki, huzuni, upendo
- DAskari jela, mwanaserere, kionjamchuzi
Answer
D. Askari jela, mwanaserere, kionjamchuzi
Nomino ambata huundwa kwa maneno mawili: askari jela, mwanaserere, kionjamchuzi.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Ng'ombe wa jirani amepewa nyasi na maji. Alama ya uakifishaji kwenye nomino ng'ombe niQuestion 41
- Chagua orodha ya maneno yenye sauti 'g' na 'gh'.Question 42
- Chagua kundi lenye vitenzi pekee.Question 43
- Nomino zifuatazo zipo katika ngeli gani? kijana, chura, kipepeo, kiwaviQuestion 44
- Ukubwa wa; mji huu una nyumba ndefu niQuestion 45
- Chagua kundi linaloonyesha vivumishi vya sifa pekee.Question 46