CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 42
Chagua orodha ya maneno yenye sauti 'g' na 'gh'.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Sauti
42. Chagua orodha ya maneno yenye sauti 'g' na 'gh'.
- AGamu, ghamu
- BNgamia, ng'ambo
- CKali, ghali
- DGhairi, kaidi
Answer
A. Gamu, ghamu
Gamu ina /g/ na ghamu ina /gh/.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua kundi lenye vitenzi pekee.Question 43
- Nomino zifuatazo zipo katika ngeli gani? kijana, chura, kipepeo, kiwaviQuestion 44
- Ukubwa wa; mji huu una nyumba ndefu niQuestion 45
- Chagua kundi linaloonyesha vivumishi vya sifa pekee.Question 46
- Nilimsomea kitabu kwa furaha- kanushaQuestion 47
- Chagua sentensi iliyo katika wakati wa mazoea.Question 48