CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 43
Chagua kundi lenye vitenzi pekee.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno
43. Chagua kundi lenye vitenzi pekee.
- Akuchora, cheka, mbio
- Blima, aliwahi, jibidiisha
- Czuri, lala, amka
- Druka, keti, pendo
Answer
B. lima, aliwahi, jibidiisha
Lima, aliwahi na jibidiisha ni vitenzi; mbio, zuri na pendo si vitenzi.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Nomino zifuatazo zipo katika ngeli gani? kijana, chura, kipepeo, kiwaviQuestion 44
- Ukubwa wa; mji huu una nyumba ndefu niQuestion 45
- Chagua kundi linaloonyesha vivumishi vya sifa pekee.Question 46
- Nilimsomea kitabu kwa furaha- kanushaQuestion 47
- Chagua sentensi iliyo katika wakati wa mazoea.Question 48
- Kinyume cha kitenzi anika, pika niQuestion 49