CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 37
Bainisha kiwakilishi nafsi kwenye sentensi. Nitaanza kazi yangu sasa, yeye atafanya kesho.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viwakilishi
37. Bainisha kiwakilishi nafsi kwenye sentensi.
Nitaanza kazi yangu sasa, yeye atafanya kesho.
- Akazi
- Byangu
- Ckesho
- Dyeye
Answer
D. yeye
Yeye ni kiwakilishi cha nafsi ya tatu.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Petro ni sungura. Sentensi hii imetumia mbinu gani ya lugha?Question 38
- Chagua wingi wa sentensi hii. Ufa wa ukuta huu ni mpana.Question 39
- Chagua kundi la nomino ambata.Question 40
- Ng'ombe wa jirani amepewa nyasi na maji. Alama ya uakifishaji kwenye nomino ng'ombe niQuestion 41
- Chagua orodha ya maneno yenye sauti 'g' na 'gh'.Question 42
- Chagua kundi lenye vitenzi pekee.Question 43