CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 36
Tumia kiashiria kifaacho. Majiko ___ ndiyo yalitumiwa jana
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viashiria
36. Tumia kiashiria kifaacho.
Majiko ___ ndiyo yalitumiwa jana
- Ahaya
- Bhizi
- Chawa
- Dhuku
Answer
A. haya
Majiko (ngeli ya LI-YA, wingi): haya.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Bainisha kiwakilishi nafsi kwenye sentensi. Nitaanza kazi yangu sasa, yeye atafanya kesho.Question 37
- Petro ni sungura. Sentensi hii imetumia mbinu gani ya lugha?Question 38
- Chagua wingi wa sentensi hii. Ufa wa ukuta huu ni mpana.Question 39
- Chagua kundi la nomino ambata.Question 40
- Ng'ombe wa jirani amepewa nyasi na maji. Alama ya uakifishaji kwenye nomino ng'ombe niQuestion 41
- Chagua orodha ya maneno yenye sauti 'g' na 'gh'.Question 42