naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 25

Takataka zinafaa kufanyiwa nini?

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu swali la 21 hadi la 25.
Chifu: Hujambo bwana mdogo?
Katana: __21__ bwana chifu. Naona umerauka mapema kwa ajili ya kazi.
Chifu: Naam, wajua chelewa chelewa __22__ ni vyema kujikaza kazini.
Katana: (Akitabasamu) Sababu yangu kufika hapa ni kuleta malalamishi yangu kwa kuwa watu wanachafua sehemu za umma.
Chifu: Ala! Ni vipi watafanya hivyo na tumeendeleza kampeni mbalimbali za usafi wa mazingira?
Katana: Ni kweli, hatuwezi kuendelea hivyo kwa kuwa uchafu wa mazingira utatuletea maradhi, harufu mbaya na mrundiko wa taka kila mahali.
Chifu: (Akisimama) Umefanya jambo muhimu kuleta malalamishi hayo kesho nitapanga mkutano muhimu ili kuhimiza wanakijiji kutunza na kusafisha mazingira.

25. Takataka zinafaa kufanyiwa nini?

  1. AKuchomwa
  2. BKurushwa mtoni
  3. CKutiwa kwenye mabiwi
  4. DKutapakazwa kote

Answer

C. Kutiwa kwenye mabiwi

Taka hutupwa kwenye mabiwi (mahali pa kutupa taka).

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test