CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 24
Uchafuzi wa mazingira ungesababisha haya yote ila
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu swali la 21 hadi la 25.
Chifu: Hujambo bwana mdogo?
Katana: __21__ bwana chifu. Naona umerauka mapema kwa ajili ya kazi.
Chifu: Naam, wajua chelewa chelewa __22__ ni vyema kujikaza kazini.
Katana: (Akitabasamu) Sababu yangu kufika hapa ni kuleta malalamishi yangu kwa kuwa watu wanachafua sehemu za umma.
Chifu: Ala! Ni vipi watafanya hivyo na tumeendeleza kampeni mbalimbali za usafi wa mazingira?
Katana: Ni kweli, hatuwezi kuendelea hivyo kwa kuwa uchafu wa mazingira utatuletea maradhi, harufu mbaya na mrundiko wa taka kila mahali.
Chifu: (Akisimama) Umefanya jambo muhimu kuleta malalamishi hayo kesho nitapanga mkutano muhimu ili kuhimiza wanakijiji kutunza na kusafisha mazingira.
24. Uchafuzi wa mazingira ungesababisha haya yote ila
- Amaradhi
- Bharufu mbaya
- Cmaendeleo
- Dmrundiko wa taka
Answer
C. maendeleo
Uchafu huleta maradhi, harufu mbaya na mrundiko wa taka, si maendeleo.