CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 29
Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 29.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
Kifungu kifuatacho kina nafasi 26 hadi 35. Umepewa majibu manne. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi.
Ni vyema kutumia dawa __26__ kila mara. Gharama __27__ hutokea mgonjwa akighairi ushauri __28__ na daktari. Matibabu kutokana __29__ matumizi __30__ ya dawa hugharimu pesa tele. Ni __31__ kijana na mzee __32__ anayeugua afuate ushauri __33__ kudhibiti magonjwa. Isitoshe, dawa __34__ zikitumiwa vibaya husababisha __35__.
29. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 29.
- Ana
- Bcha
- Cpia
- Dkwa
Answer
A. na
Kutokana na.