naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 28

Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 28.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi

Kifungu kifuatacho kina nafasi 26 hadi 35. Umepewa majibu manne. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi.
Ni vyema kutumia dawa __26__ kila mara. Gharama __27__ hutokea mgonjwa akighairi ushauri __28__ na daktari. Matibabu kutokana __29__ matumizi __30__ ya dawa hugharimu pesa tele. Ni __31__ kijana na mzee __32__ anayeugua afuate ushauri __33__ kudhibiti magonjwa. Isitoshe, dawa __34__ zikitumiwa vibaya husababisha __35__.

28. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 28.

  1. Awaliopewa
  2. Btuliopewa
  3. Caliopewa
  4. Danapewa

Answer

C. aliopewa

Mgonjwa (yeye) akighairi ushauri aliopewa.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test