naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 22

Kamilisha methali ya nambari 22.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 3) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu swali la 21 hadi la 25.
Chifu: Hujambo bwana mdogo?
Katana: __21__ bwana chifu. Naona umerauka mapema kwa ajili ya kazi.
Chifu: Naam, wajua chelewa chelewa __22__ ni vyema kujikaza kazini.
Katana: (Akitabasamu) Sababu yangu kufika hapa ni kuleta malalamishi yangu kwa kuwa watu wanachafua sehemu za umma.
Chifu: Ala! Ni vipi watafanya hivyo na tumeendeleza kampeni mbalimbali za usafi wa mazingira?
Katana: Ni kweli, hatuwezi kuendelea hivyo kwa kuwa uchafu wa mazingira utatuletea maradhi, harufu mbaya na mrundiko wa taka kila mahali.
Chifu: (Akisimama) Umefanya jambo muhimu kuleta malalamishi hayo kesho nitapanga mkutano muhimu ili kuhimiza wanakijiji kutunza na kusafisha mazingira.

22. Kamilisha methali ya nambari 22.

  1. Autapata mwana si wako
  2. Butaharibu muda
  3. Cutaadhibiwa na wenzako
  4. Dutajihaibisha

Answer

A. utapata mwana si wako

"Chelewa chelewa utapata mwana si wako."

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test