CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026: Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 13)
Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 13) · Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 13) · 50 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 50 questions with answers
- Question 1: Kulingana na kifungu hiki, tunapaswa kuwa waangalifu tunapotumia mitandao ya kidijitali iliAnswer: C. kuepuka kutangaza maelezo binafsi
- Question 2: Ni ipi kati ya haya si maelezo binafsi?Answer: D. Jina la nchi unayoishi
- Question 3: Unapopokea ujumbe wa kukuchanganya au unaokufanya ujisikie vibaya, unapaswaAnswer: D. kumjulisha mzazi au mwalimu
- Question 4: Haifai kukubali maombi ya urafiki kutoka kwa watu wasiojulikana kwa sababuAnswer: B. wanaweza kutumia taarifa zako kwa nia mbaya
- Question 5: Ni ipi njia salama ya kutumia mitandao?Answer: C. Kutumia tovuti salama pekee
- Question 6: Ni lugha ipi unayofaa kutumia unapowasiliana mtandaoni?Answer: D. Lugha ya heshima
- Question 7: Ni kazi gani ambayo Sungura alikuwa akifanya kwa Simba?Answer: B. Kutunza nyumba kwa uaminifu
- Question 8: Simba alichukua hatua gani baada ya kumwona Kuku akinywa maziwa kwa siri?Answer: C. Alimtaka aombe msamaha
- Question 9: Kuku alifanya nini baada ya kushutumiwa na Simba?Answer: C. Alikana kosa na hakutaka kusamehewa
- Question 10: Ni nini kilitokea kwa urafiki kati ya Simba na Kuku baada ya tukio hilo?Answer: D. Uliisha kabisa
- Question 11: Kulingana na kifungu hiki, Sungura alifanya nini baada ya tukio hilo?Answer: B. Aliendelea kufanya kazi kwa uaminifu kisha akaondoka
- Question 12: Ni maisha gani Kuku alianza kuishi baada ya kuachana na Simba?Answer: C. Ya kujitegemea mbali na Simba
- Question 13: Elimu ilileta mabadiliko gani katika maisha ya binadamu?Answer: B. Ilimsaidia binadamu kufikiri na kuvumbua mambo muhimu
- Question 14: Umeme unaweza kuzalishwa kwa kupitiaAnswer: A. maji, mivuke, pepo, betri na jenereta
- Question 15: Radi ni nini na husababisha nini?Answer: B. Ni nguvu ya umeme kutoka mawinguni na husababisha uharibifu kama kuvunja miti na kuua watu
- Question 16: Baada ya kujifunza kutumia umeme, binadamu aliweza kufanya nini?Answer: A. Kuutumia umeme kuendesha mitambo na kupata mwangaza majumbani
- Question 17: Umeme umesaidia maisha ya binadamu kwa namna gani?Answer: B. Kuboresha maisha kwa kuendesha shughuli mbalimbali
- Question 18: Katana ni nani?Answer: D. Mwanajeshi mwenye bidii kazini
- Question 19: Katana hufanya nini katika kupambana na ugaidi?Answer: B. Kutoa habari kwa wapelelezi kuhusu magaidi
- Question 20: Kwa nini Katana anawahimiza wanajamii kuripoti visa vya magaidi?Answer: B. Ili kusaidia kumaliza ugaidi na kuleta usalama
- Question 21: Ni nini kisawe cha neno ‘barua’?Answer: A. Waraka
- Question 22: Unadhani mazungumzo haya yalifanyika wapi?Answer: C. Katika ofisi ya mwalimu mkuu
- Question 23: Ni salamu gani kati ya hizi ambayo Halima angetumia kumwamkua mwalimu mkuu?Answer: D. Shikamoo mwalimu
- Question 24: Maneno “uko radhi kuondoka” yanamaanisha nini?Answer: B. Unaruhusiwa kuenda
- Question 25: Pahali maalum ambapo walimu hukutana mara kwa mara wakipanga kazi zao shuleni panaitwaAnswer: C. majilisini
- Question 26: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 26.Answer: A. mazingira
- Question 27: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 27.Answer: C. kwa sababu
- Question 28: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 28.Answer: A. machafuzi
- Question 29: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 29.Answer: D. Sio
- Question 30: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 30.Answer: A. wanapaswa
- Question 31: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 31.Answer: B. Kwa hivyo
- Question 32: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 32.Answer: A. sote
- Question 33: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 33.Answer: C. petu
- Question 34: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 34.Answer: D. vijavyo
- Question 35: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 35.Answer: B. haulei mwana
- Question 36: Kuanzia swali la 36 hadi 50 chagua jibu sahihi. 36. Tambua kivumishi katika sentensi hii. Ng'ombe mweusi ameingia zizini.Answer: A. Mweusi
- Question 37: Nyambua kitenzi katika sentensi hii katika kauli ya kutendesha. Mama alimwimbia mtoto wimbo mzuri.Answer: B. Imbisha
- Question 38: Nomino ‘furaha’, ‘woga’ na ‘huzuni’ ni za aina gani?Answer: C. Nomino dhahania
- Question 39: Ni orodha gani kati ya hizi inajumlisha visawe vya neno hongo?Answer: D. Chai, rushwa, kadhongo
- Question 40: Jaza pengo kwa neno sahihi. Mahali ___ mti panapendeza.Answer: B. palipopandwa
- Question 41: Ni nini maana ya ‘kuwa mchwa’?Answer: A. Kuwa na bidii sana
- Question 42: Chagua sentensi yenye kivumishi cha idadi ya kuonyesha nafasi.Answer: D. Yeye alikuwa mwanafunzi wa pili kumaliza kuandika
- Question 43: Chagua sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Answer: D. Tulitazama filamu inayoitwa ‘NITUNZIE MWILI WANGU’
- Question 44: Tumia kirejeshi “amba” kukamilisha sentensi ifuatayo. Kupiga mbizi ___ kunafaa ni huku.Answer: B. ambako
- Question 45: Ukanusho wa sentensi “Angedumisha usafi angekuwa na afya bora” niAnswer: C. Asingedumisha usafi asingekuwa na afya bora
- Question 46: Ni methali ipi haionyeshi hali ya ushirikiano?Answer: B. Chururu si ndondondo
- Question 47: Ukubwa wa neno Jibu ni Jijibu. Je, ukubwa wa neno Jirafu ni nini?Answer: B. Jijirafu
- Question 48: Tumia kiashiria cha mbali kabisa kujaza pengo. Mkebe ___ ulitoboka ukatupwa.Answer: C. ule
- Question 49: Chagua kinyume cha sentensi ifuatayo. Malkia alifurahishwa na kitendo cha kijakazi wake.Answer: B. Mfalme alikasirishwa na kitendo cha kitwana wake
- Question 50: Tumia kiunganishi kinachofaa kukamilisha sentensi. ___ babu aliwasili nyumbani baada ya safari ndefu.Answer: C. Hatimaye