CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 40
Jaza pengo kwa neno sahihi. Mahali ___ mti panapendeza.
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 13) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli za Nomino
40. Jaza pengo kwa neno sahihi.
Mahali ______ mti panapendeza.
- Akulikopandwa
- Bpalipopandwa
- Cmlimopandwa
- Dilikopandwa
Answer
B. palipopandwa
“Panapendeza” ni ngeli ya PA (mahali maalum), kwa hivyo tunasema “Mahali palipopandwa mti”.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Ni nini maana ya ‘kuwa mchwa’?Question 41
- Chagua sentensi yenye kivumishi cha idadi ya kuonyesha nafasi.Question 42
- Chagua sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 43
- Tumia kirejeshi “amba” kukamilisha sentensi ifuatayo. Kupiga mbizi ___ kunafaa ni huku.Question 44
- Ukanusho wa sentensi “Angedumisha usafi angekuwa na afya bora” niQuestion 45
- Ni methali ipi haionyeshi hali ya ushirikiano?Question 46