CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 42
Chagua sentensi yenye kivumishi cha idadi ya kuonyesha nafasi.
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 13) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Vivumishi
42. Chagua sentensi yenye kivumishi cha idadi ya kuonyesha nafasi.
- AOlunga alifunga mabao mengi
- BKimani amebeba matunda kumi
- CAshley amenunua kalamu tatu
- DYeye alikuwa mwanafunzi wa pili kumaliza kuandika
Answer
D. Yeye alikuwa mwanafunzi wa pili kumaliza kuandika
“Wa pili” kinaonyesha nafasi au mpangilio. “Mengi”, “kumi” na “tatu” vinaonyesha idadi ya vitu, si nafasi.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 43
- Tumia kirejeshi “amba” kukamilisha sentensi ifuatayo. Kupiga mbizi ___ kunafaa ni huku.Question 44
- Ukanusho wa sentensi “Angedumisha usafi angekuwa na afya bora” niQuestion 45
- Ni methali ipi haionyeshi hali ya ushirikiano?Question 46
- Ukubwa wa neno Jibu ni Jijibu. Je, ukubwa wa neno Jirafu ni nini?Question 47
- Tumia kiashiria cha mbali kabisa kujaza pengo. Mkebe ___ ulitoboka ukatupwa.Question 48