CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 43
Chagua sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 13) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Alama za Uakifishaji
43. Chagua sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.
- ATulitazama filamu inayoitwa - Nitunzie mwili wangu
- BTulitazama FILAMU inayoitwa Nitunzie mwili wangu
- CTulitazama filamu inayoitwa _nitunzie mwili wangu!
- DTulitazama filamu inayoitwa ‘NITUNZIE MWILI WANGU’
Answer
D. Tulitazama filamu inayoitwa ‘NITUNZIE MWILI WANGU’
Jina la filamu huandikwa kwa alama za mtajo (‘…’) ili lionekane wazi.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Tumia kirejeshi “amba” kukamilisha sentensi ifuatayo. Kupiga mbizi ___ kunafaa ni huku.Question 44
- Ukanusho wa sentensi “Angedumisha usafi angekuwa na afya bora” niQuestion 45
- Ni methali ipi haionyeshi hali ya ushirikiano?Question 46
- Ukubwa wa neno Jibu ni Jijibu. Je, ukubwa wa neno Jirafu ni nini?Question 47
- Tumia kiashiria cha mbali kabisa kujaza pengo. Mkebe ___ ulitoboka ukatupwa.Question 48
- Chagua kinyume cha sentensi ifuatayo. Malkia alifurahishwa na kitendo cha kijakazi wake.Question 49