CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 44
Tumia kirejeshi “amba” kukamilisha sentensi ifuatayo. Kupiga mbizi ___ kunafaa ni huku.
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 13) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli za Nomino
44. Tumia kirejeshi “amba” kukamilisha sentensi ifuatayo.
Kupiga mbizi ______ kunafaa ni huku.
- Aambao
- Bambako
- Cambapo
- Dambayo
Answer
B. ambako
“Kupiga mbizi” ni ngeli ya KU, kama inavyoonyeshwa na “kunafaa” na “huku”, kwa hivyo kirejeshi ni “ambako”.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Ukanusho wa sentensi “Angedumisha usafi angekuwa na afya bora” niQuestion 45
- Ni methali ipi haionyeshi hali ya ushirikiano?Question 46
- Ukubwa wa neno Jibu ni Jijibu. Je, ukubwa wa neno Jirafu ni nini?Question 47
- Tumia kiashiria cha mbali kabisa kujaza pengo. Mkebe ___ ulitoboka ukatupwa.Question 48
- Chagua kinyume cha sentensi ifuatayo. Malkia alifurahishwa na kitendo cha kijakazi wake.Question 49
- Tumia kiunganishi kinachofaa kukamilisha sentensi. ___ babu aliwasili nyumbani baada ya safari ndefu.Question 50