CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 49
Chagua kinyume cha sentensi ifuatayo. Malkia alifurahishwa na kitendo cha kijakazi wake.
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 13) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Visawe na Vinyume
49. Chagua kinyume cha sentensi ifuatayo.
Malkia alifurahishwa na kitendo cha kijakazi wake.
- AMfalme hakufurahishwa na kitendo cha mfanyakazi wake
- BMfalme alikasirishwa na kitendo cha kitwana wake
- CBinti alikasirishwa na kitendo cha yaya wake
- DMalkia hakufurahishwa na kitendo cha mfanyakazi wake
Answer
B. Mfalme alikasirishwa na kitendo cha kitwana wake
Kinyume cha malkia ni mfalme, cha alifurahishwa ni alikasirishwa, na cha kijakazi ni kitwana (mtwana).
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Tumia kiunganishi kinachofaa kukamilisha sentensi. ___ babu aliwasili nyumbani baada ya safari ndefu.Question 50
- Kulingana na kifungu hiki, tunapaswa kuwa waangalifu tunapotumia mitandao ya kidijitali iliQuestion 1
- Ni ipi kati ya haya si maelezo binafsi?Question 2
- Unapopokea ujumbe wa kukuchanganya au unaokufanya ujisikie vibaya, unapaswaQuestion 3
- Haifai kukubali maombi ya urafiki kutoka kwa watu wasiojulikana kwa sababuQuestion 4
- Ni ipi njia salama ya kutumia mitandao?Question 5