naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 45

Ukanusho wa sentensi “Angedumisha usafi angekuwa na afya bora” ni

From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 13) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanusho wa Sentensi

45. Ukanusho wa sentensi “Angedumisha usafi angekuwa na afya bora” ni

  1. AAsingelidumisha usafi asingelikuwa na afya bora
  2. BAngedumisha usafi asingekuwa na afya bora
  3. CAsingedumisha usafi asingekuwa na afya bora
  4. DAsingedumisha usafi angekuwa na afya bora

Answer

C. Asingedumisha usafi asingekuwa na afya bora

Ukanusho wa -nge- ni -singe-, na lazima vitenzi vyote viwili vikanushwe: “Asingedumisha usafi asingekuwa na afya bora.”

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test