CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 39
Ni orodha gani kati ya hizi inajumlisha visawe vya neno hongo?
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 13) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Visawe na Vinyume
39. Ni orodha gani kati ya hizi inajumlisha visawe vya neno hongo?
- ANia, dhamira, bela
- BNjenje, fedha, luja
- CKodhongo, azma, izara
- DChai, rushwa, kadhongo
Answer
D. Chai, rushwa, kadhongo
Hongo ni pesa anayopewa mtu ili apendelee jambo. Visawe vyake ni chai, rushwa na kadhongo.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Jaza pengo kwa neno sahihi. Mahali ___ mti panapendeza.Question 40
- Ni nini maana ya ‘kuwa mchwa’?Question 41
- Chagua sentensi yenye kivumishi cha idadi ya kuonyesha nafasi.Question 42
- Chagua sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 43
- Tumia kirejeshi “amba” kukamilisha sentensi ifuatayo. Kupiga mbizi ___ kunafaa ni huku.Question 44
- Ukanusho wa sentensi “Angedumisha usafi angekuwa na afya bora” niQuestion 45