naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 36

Kuanzia swali la 36 hadi 50 chagua jibu sahihi. 36. Tambua kivumishi katika sentensi hii. Ng'ombe mweusi ameingia zizini.

From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 13) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Vivumishi

Kuanzia swali la 36 hadi 50 chagua jibu sahihi.
36. Tambua kivumishi katika sentensi hii.
Ng'ombe mweusi ameingia zizini.

  1. AMweusi
  2. BAmeingia
  3. CZizini
  4. DNg’ombe

Answer

A. Mweusi

Kivumishi hueleza zaidi kuhusu nomino. “Mweusi” kinaeleza rangi ya ng'ombe.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test