CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 20
Kwa nini Katana anawahimiza wanajamii kuripoti visa vya magaidi?
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 13) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Makala
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali la 18 hadi 20.
Katana ni mwanajeshi ambaye ni njiwa na mwenye matumaini ya tai. Amekuwa mchwa katika mstari wa mbele kukabiliana na ugaidi. Yeye hutoa habari kwa wapelelezi ili kukabiliana na magaidi ambao mara kwa mara huwa mikizi wanaposhambulia. Aidha, huwashauri wanajamii wote wasiwe pweza bali waripoti visa vyovyote vya magaidi ili sote tumalize uovu huu.
20. Kwa nini Katana anawahimiza wanajamii kuripoti visa vya magaidi?
- AIli kutengeneza urafiki na magaidi
- BIli kusaidia kumaliza ugaidi na kuleta usalama
- CIli kupata zawadi kutoka kwa serikali
- DIli kuonyesha nguvu za jeshi
Answer
B. Ili kusaidia kumaliza ugaidi na kuleta usalama
Anawashauri waripoti visa vya magaidi “ili sote tumalize uovu huu”.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Ni nini kisawe cha neno ‘barua’?Question 21
- Unadhani mazungumzo haya yalifanyika wapi?Question 22
- Ni salamu gani kati ya hizi ambayo Halima angetumia kumwamkua mwalimu mkuu?Question 23
- Maneno “uko radhi kuondoka” yanamaanisha nini?Question 24
- Pahali maalum ambapo walimu hukutana mara kwa mara wakipanga kazi zao shuleni panaitwaQuestion 25
- Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 26.Question 26