CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 21
Ni nini kisawe cha neno ‘barua’?
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 13) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Mazungumzo
Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu swali la 21 hadi 24.
Halima: (Akimkabidhi mwalimu barua) Tafadhali, Bw. Tunga, nimeleta barua hii.
Bwana Tunga: Asante Halima. Ninaomba kujua ilikotoka barua.
Halima: Nilitumwa na wavyele wangu nikuletee.
Bwana Tunga: Haya, nitaisoma.
Halima: Tafadhali Bwana Tunga, ninaomba kuondoka sasa.
Bwana Tunga: (Anaanza kuifungua bahasha iliyo na barua). Uko radhi kuondoka. Hata hivyo, ukumbuka kuyachukua majibu ya barua hii katika ofisi ya mhazili wakati wa kwenda nyumbani.
21. Ni nini kisawe cha neno ‘barua’?
- AWaraka
- BSiha
- CFulusi
- DHabari
Answer
A. Waraka
Waraka ni barua. Siha ni afya, na fulusi ni pesa.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Unadhani mazungumzo haya yalifanyika wapi?Question 22
- Ni salamu gani kati ya hizi ambayo Halima angetumia kumwamkua mwalimu mkuu?Question 23
- Maneno “uko radhi kuondoka” yanamaanisha nini?Question 24
- Pahali maalum ambapo walimu hukutana mara kwa mara wakipanga kazi zao shuleni panaitwaQuestion 25
- Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 26.Question 26
- Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 27.Question 27