naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 22

Unadhani mazungumzo haya yalifanyika wapi?

From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 13) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Mazungumzo

Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu swali la 21 hadi 24.

Halima: (Akimkabidhi mwalimu barua) Tafadhali, Bw. Tunga, nimeleta barua hii.
Bwana Tunga: Asante Halima. Ninaomba kujua ilikotoka barua.
Halima: Nilitumwa na wavyele wangu nikuletee.
Bwana Tunga: Haya, nitaisoma.
Halima: Tafadhali Bwana Tunga, ninaomba kuondoka sasa.
Bwana Tunga: (Anaanza kuifungua bahasha iliyo na barua). Uko radhi kuondoka. Hata hivyo, ukumbuka kuyachukua majibu ya barua hii katika ofisi ya mhazili wakati wa kwenda nyumbani.

22. Unadhani mazungumzo haya yalifanyika wapi?

  1. ADarasani
  2. BOfisi ya mhazili
  3. CKatika ofisi ya mwalimu mkuu
  4. DMaktabani

Answer

C. Katika ofisi ya mwalimu mkuu

Halima analeta barua kwa Bwana Tunga, ambaye anaipokea na kumwambia achukue majibu kwa mhazili. Huyu ni mwalimu mkuu ofisini mwake.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test