naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 23

Ni salamu gani kati ya hizi ambayo Halima angetumia kumwamkua mwalimu mkuu?

From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 13) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Mazungumzo

Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu swali la 21 hadi 24.

Halima: (Akimkabidhi mwalimu barua) Tafadhali, Bw. Tunga, nimeleta barua hii.
Bwana Tunga: Asante Halima. Ninaomba kujua ilikotoka barua.
Halima: Nilitumwa na wavyele wangu nikuletee.
Bwana Tunga: Haya, nitaisoma.
Halima: Tafadhali Bwana Tunga, ninaomba kuondoka sasa.
Bwana Tunga: (Anaanza kuifungua bahasha iliyo na barua). Uko radhi kuondoka. Hata hivyo, ukumbuka kuyachukua majibu ya barua hii katika ofisi ya mhazili wakati wa kwenda nyumbani.

23. Ni salamu gani kati ya hizi ambayo Halima angetumia kumwamkua mwalimu mkuu?

  1. AMasalkheri, mwalimu
  2. BUmeshindaje?
  3. CSabalkheri
  4. DShikamoo mwalimu

Answer

D. Shikamoo mwalimu

Mtoto humwamkua mtu mzima kwa heshima kwa kusema “Shikamoo”.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test