naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 25

Pahali maalum ambapo walimu hukutana mara kwa mara wakipanga kazi zao shuleni panaitwa

From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 13) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati

25. Pahali maalum ambapo walimu hukutana mara kwa mara wakipanga kazi zao shuleni panaitwa

  1. Amaktabani
  2. Bsebuleni
  3. Cmajilisini
  4. Dmaabarani

Answer

C. majilisini

Majilisi ni mahali pa mkutano. Maktaba ni mahali pa vitabu, sebule ni chumba cha kukaa nyumbani, na maabara ni mahali pa majaribio ya sayansi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test