naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 24

Maneno “uko radhi kuondoka” yanamaanisha nini?

From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 13) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Mazungumzo

Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu swali la 21 hadi 24.

Halima: (Akimkabidhi mwalimu barua) Tafadhali, Bw. Tunga, nimeleta barua hii.
Bwana Tunga: Asante Halima. Ninaomba kujua ilikotoka barua.
Halima: Nilitumwa na wavyele wangu nikuletee.
Bwana Tunga: Haya, nitaisoma.
Halima: Tafadhali Bwana Tunga, ninaomba kuondoka sasa.
Bwana Tunga: (Anaanza kuifungua bahasha iliyo na barua). Uko radhi kuondoka. Hata hivyo, ukumbuka kuyachukua majibu ya barua hii katika ofisi ya mhazili wakati wa kwenda nyumbani.

24. Maneno “uko radhi kuondoka” yanamaanisha nini?

  1. ANiwie radhi
  2. BUnaruhusiwa kuenda
  3. CUtaondoka
  4. DOndoka

Answer

B. Unaruhusiwa kuenda

“Uko radhi kuondoka” ni kusema kwa upole kwamba umeruhusiwa kwenda.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test