naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 19

Katana hufanya nini katika kupambana na ugaidi?

From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 13) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Makala

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali la 18 hadi 20.

Katana ni mwanajeshi ambaye ni njiwa na mwenye matumaini ya tai. Amekuwa mchwa katika mstari wa mbele kukabiliana na ugaidi. Yeye hutoa habari kwa wapelelezi ili kukabiliana na magaidi ambao mara kwa mara huwa mikizi wanaposhambulia. Aidha, huwashauri wanajamii wote wasiwe pweza bali waripoti visa vyovyote vya magaidi ili sote tumalize uovu huu.

19. Katana hufanya nini katika kupambana na ugaidi?

  1. AKupiga kura kwa amani
  2. BKutoa habari kwa wapelelezi kuhusu magaidi
  3. CKupika chakula kwa wanajeshi
  4. DKuendesha magari ya kivita

Answer

B. Kutoa habari kwa wapelelezi kuhusu magaidi

“Yeye hutoa habari kwa wapelelezi ili kukabiliana na magaidi.”

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test