CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 18
Katana ni nani?
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 13) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Makala
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali la 18 hadi 20.
Katana ni mwanajeshi ambaye ni njiwa na mwenye matumaini ya tai. Amekuwa mchwa katika mstari wa mbele kukabiliana na ugaidi. Yeye hutoa habari kwa wapelelezi ili kukabiliana na magaidi ambao mara kwa mara huwa mikizi wanaposhambulia. Aidha, huwashauri wanajamii wote wasiwe pweza bali waripoti visa vyovyote vya magaidi ili sote tumalize uovu huu.
18. Katana ni nani?
- AMpelelezi wa magaidi
- BMkulima wa kawaida
- CMkuu wa jeshi
- DMwanajeshi mwenye bidii kazini
Answer
D. Mwanajeshi mwenye bidii kazini
Katana ni mwanajeshi, na “amekuwa mchwa”, yaani mwenye bidii sana, katika kukabiliana na ugaidi.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Katana hufanya nini katika kupambana na ugaidi?Question 19
- Kwa nini Katana anawahimiza wanajamii kuripoti visa vya magaidi?Question 20
- Ni nini kisawe cha neno ‘barua’?Question 21
- Unadhani mazungumzo haya yalifanyika wapi?Question 22
- Ni salamu gani kati ya hizi ambayo Halima angetumia kumwamkua mwalimu mkuu?Question 23
- Maneno “uko radhi kuondoka” yanamaanisha nini?Question 24