CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 17
Umeme umesaidia maisha ya binadamu kwa namna gani?
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 13) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Makala
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali la 13 hadi 17.
Elimu ni jambo muhimu sana ambalo limeleta mwanga katika maisha ya binadamu. Kabla ya elimu, watu waliishi katika kiza cha ujinga, lakini walimu walisaidia kuleta mabadiliko kupitia elimu ya kisayansi. Elimu imemwezesha binadamu kufikiri kwa kina na kuvumbua vitu muhimu kama vile umeme.
Umeme huzalishwa kwa kutumia maji, mivuke, pepo, betri au jenereta. Pia hupatikana katika mawingu ambapo huweza kushuka ardhini kama radi na kusababisha madhara kama kuharibu nyumba au kuua watu. Hata hivyo, baada ya kujifunza kuutumia, binadamu sasa hutegemea umeme kuendesha mitambo na kupata mwangaza. Umeme umetumika kuboresha maisha ya binadamu kwa kiasi kikubwa.
17. Umeme umesaidia maisha ya binadamu kwa namna gani?
- AKufanya maisha kuwa magumu
- BKuboresha maisha kwa kuendesha shughuli mbalimbali
- CKusababisha matatizo tu
- DKutoa giza zaidi
Answer
B. Kuboresha maisha kwa kuendesha shughuli mbalimbali
“Umeme umetumika kuboresha maisha ya binadamu kwa kiasi kikubwa”, kwa kuendesha mitambo na kutoa mwangaza.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Katana ni nani?Question 18
- Katana hufanya nini katika kupambana na ugaidi?Question 19
- Kwa nini Katana anawahimiza wanajamii kuripoti visa vya magaidi?Question 20
- Ni nini kisawe cha neno ‘barua’?Question 21
- Unadhani mazungumzo haya yalifanyika wapi?Question 22
- Ni salamu gani kati ya hizi ambayo Halima angetumia kumwamkua mwalimu mkuu?Question 23