naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 6

Ni lugha ipi unayofaa kutumia unapowasiliana mtandaoni?

From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 13) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Makala

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali la 1 hadi la 6.

Mitandao ya kidijitali hutusaidia kupata habari na kuwasiliana kwa haraka. Hata hivyo, tunapaswa kuwa waangalifu kwa kutotangaza maelezo binafsi kama nenosiri au nambari ya simu. Epuka kushiriki picha au video zako na watu usiowajua na usikubali maombi ya urafiki kutoka kwa watu wasiojulikana.

Ukikutana na ujumbe wa kukuchanganya au kukufanya ujisikie vibaya, mjulishe mzazi au mwalimu. Tumia lugha ya heshima mtandaoni na epuka mabishano. Pia, tumia tovuti salama na usibofye viunganishi visivyojulikana kwani vinaweza kuwa na virusi hatari.

6. Ni lugha ipi unayofaa kutumia unapowasiliana mtandaoni?

  1. ALugha ya siri
  2. BLugha ya matusi
  3. CLugha ya kuchekesha
  4. DLugha ya heshima

Answer

D. Lugha ya heshima

Kifungu kinasema: “Tumia lugha ya heshima mtandaoni na epuka mabishano.”

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test