CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026: Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 12)
Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 12) · Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 50 questions
Topics: Kusoma, Kusikiliza na Kuzungumza, Kuandika, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 50 questions with answers
- Question 1: Chagua maelezo sahihi kulingana na kifungu hiki.Answer: C. Jamaa iliyotajwa ilikuwa yenye bidii.
- Question 2: Maneno ‘walifanya bidii mithili ya mchwa’ yametumia mbinu gani ya lugha?Answer: A. Tashbihi
- Question 3: Kwa nini Maisha alipandishwa cheo kazini?Answer: D. Aliielewa kazi yake vizuri sana.
- Question 4: Kasoro kubwa aliyokuwa nayo Maisha ilikuwaAnswer: B. kupenda anasa
- Question 5: Fanaka alitumia mshahara wake kwa njia zifuatazo isipokuwaAnswer: D. kushiriki starehe.
- Question 6: Kwa nini kiwanda kilifungwa?Answer: C. Shughuli za kibiashara zilididimia.
- Question 7: Wazazi walivutiwa sana na jambo lipi?Answer: A. kuwaona watoto wakisaidiana
- Question 8: Kichwa kifaacho zaidi kwa hadithi hii niAnswer: B. Akiba haiozi
- Question 9: Neno 'kufuja' limetumiwa katika kifungu hiki. Neno hilo lina maana sawa naAnswer: C. kuharibu
- Question 10: Kulingana na aya ya kwanzaAnswer: A. sharti kila mmoja azingatie maadili ya kijamii
- Question 11: Matokeo ya kutofuata maadili katika jamii huwaAnswer: C. kuongezeka kwa maovu
- Question 12: Ni sahihi kusema kuwaAnswer: B. tabia ya mtoto huathiriwa na mienendo ya wanajamii wengine
- Question 13: Kwa jumla, kifungu hiki kinatoa wito kwa wazazi kuwaAnswer: D. wawe vielelezo bora kwa watoto wao
- Question 14: Mtoto akilelewa katika mazingira ya unyenyekevu, uaminifu na upendoAnswer: B. atakuwa mwadilifu maishani
- Question 15: Aya ya tatu inaonyeshaAnswer: A. athari ya mazingira katika malezi ya mtoto
- Question 16: Sifa anayohitajika kuwa nayo mtu anapofuatilia haki zake niAnswer: C. unyenyekevu
- Question 17: Kulingana na kifungu, maadili yanahusisha mambo yafuatayo ilaAnswer: D. kujiona duni kuliko wengine.
- Question 18: Neno lipi limefaa zaidi kujazia pengo la 18.Answer: B. Masalkheri
- Question 19: Baraki alienda kumwona Jimi kwa kuwaAnswer: D. alikosa kufika shuleni.
- Question 20: Maneno ‘Ooh! Pole sana’; yanaonyesha sifa gani ya Baraki? MwenyeAnswer: A. huruma
- Question 21: Chagua jibu sahihi kujaza pengo la 21.Answer: C. waba
- Question 22: Ni ugonjwa upi ulio hatari zaidi kulingana na mazungumzo haya?Answer: D. Kipindupindu
- Question 23: Wazazi wa Jimi wamewajibika kwa kuwa,Answer: B. wanalipia bima ya afya
- Question 24: Neno 'imejisajili' kama lilivyotumiwa lina maana kuwaAnswer: A. imejiandikisha
- Question 25: Jaza nafasi ya 25 kwa usahihi.Answer: C. Alamsiki
- Question 26: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 26.Answer: B. mabonde
- Question 27: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 27.Answer: A. rasilimali
- Question 28: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 28.Answer: A. ana
- Question 29: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 29.Answer: A. yanaendelea
- Question 30: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 30.Answer: D. kutarajia
- Question 31: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 31.Answer: B. yataanza
- Question 32: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 32.Answer: B. miti
- Question 33: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 33.Answer: B. kusafisha
- Question 34: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 34.Answer: A. makazi
- Question 35: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 35.Answer: A. Kwa kifupi
- Question 36: Kuanzia nambari 36 mpaka 50 chagua jibu lifaalo zaidi kwa kila swali 36. Susana amevalia jozi ya vipuli masikioni. Neno jozi ni nomino yaAnswer: C. makundi
- Question 37: Chagua jibu lifaalo zaidi. Elimu ina ___ kubwa.Answer: A. thamani
- Question 38: Andika katika hali ya wingi. Mkoba huo una kitabu changu.Answer: D. Mikoba hiyo ina vitabu vyetu.
- Question 39: Chagua sentensi iliyo katika wakati ujao hali ya kuendelea.Answer: B. Ng’ombe watakuwa wakila nyasi nitakapowafungua.
- Question 40: Tambulisha kitenzi kikuu katika sentensi ifuatayo. Mtoto huyo anataka kunywa maziwa yale.Answer: C. kunywa
- Question 41: Kanusha sentensi hii. Meza ile imevunjika.Answer: C. Meza ile haijavunjika.
- Question 42: Bainisha sentensi yenye matumizi yafaayo ya koma.Answer: C. Nilinunua mswaki, brashi, na dawa ya meno.
- Question 43: Ukubwa wa neno ngazi niAnswer: D. jingazi.
- Question 44: Tunasema kilinge cha wachawi lakini ___ cha barua.Answer: C. kipeto
- Question 45: Nomino 'kiwavi' na 'kipepeo' huorodheshwa katika ngeli ipi?Answer: C. KI-VI
- Question 46: Tamko lipi hutumiwa na watu wanapoagana bila matumaini ya kuonana kwa muda mrefu?Answer: D. Buriani
- Question 47: Chagua nahau yenye maana ya kushirikiana.Answer: D. Changa bia
- Question 48: Kauli 'mwakio ni sungura' ina maana kuwa,Answer: C. ni mwoga
- Question 49: Wavulana sita walituzwa gwarideni kwa usafi wao. Neno lililoangaziwa ni aina ya,Answer: C. kivumishi
- Question 50: Chagua methali inayohimiza bidii kati ya zifuatazo.Answer: D. Ukiona vyaelea jua vimeundwa.