CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 43
Ukubwa wa neno ngazi ni
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukubwa na Udogo
43. Ukubwa wa neno ngazi ni
- Agazi
- Bkijigazi
- Ckigazi
- Djingazi.
Answer
D. jingazi.
Kwa nomino za silabi mbili kama ngazi, ukubwa huundwa kwa "ji-": ngazi → jingazi. Kigazi na kijigazi ni udogo.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Tunasema kilinge cha wachawi lakini ___ cha barua.Question 44
- Nomino 'kiwavi' na 'kipepeo' huorodheshwa katika ngeli ipi?Question 45
- Tamko lipi hutumiwa na watu wanapoagana bila matumaini ya kuonana kwa muda mrefu?Question 46
- Chagua nahau yenye maana ya kushirikiana.Question 47
- Kauli 'mwakio ni sungura' ina maana kuwa,Question 48
- Wavulana sita walituzwa gwarideni kwa usafi wao. Neno lililoangaziwa ni aina ya,Question 49