CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 44
Tunasema kilinge cha wachawi lakini ___ cha barua.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati wa Makundi
44. Tunasema kilinge cha wachawi lakini ______ cha barua.
- Akaratasi
- Bkikonyo
- Ckipeto
- Dthureya
Answer
C. kipeto
Kipeto ni kifurushi cha barua. "Karatasi" haichukui "cha" (karatasi ya), na thureya ni kundi la nyota.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Nomino 'kiwavi' na 'kipepeo' huorodheshwa katika ngeli ipi?Question 45
- Tamko lipi hutumiwa na watu wanapoagana bila matumaini ya kuonana kwa muda mrefu?Question 46
- Chagua nahau yenye maana ya kushirikiana.Question 47
- Kauli 'mwakio ni sungura' ina maana kuwa,Question 48
- Wavulana sita walituzwa gwarideni kwa usafi wao. Neno lililoangaziwa ni aina ya,Question 49
- Chagua methali inayohimiza bidii kati ya zifuatazo.Question 50