naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 49

Wavulana sita walituzwa gwarideni kwa usafi wao. Neno lililoangaziwa ni aina ya,

From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno

49. Wavulana sita walituzwa gwarideni kwa usafi wao.
Neno lililoangaziwa ni aina ya,

  1. Akitenzi
  2. Bkielezo
  3. Ckivumishi
  4. Dkiwakilishi

Answer

C. kivumishi

"Sita" linaeleza idadi ya wavulana, kwa hivyo ni kivumishi cha idadi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test