CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 50
Chagua methali inayohimiza bidii kati ya zifuatazo.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Methali
50. Chagua methali inayohimiza bidii kati ya zifuatazo.
- AMkono mmoja haulei mwana.
- BAsiyekuwepo na lake halipo.
- CDau la mnyonge haliendi joshi.
- DUkiona vyaelea jua vimeundwa.
Answer
D. Ukiona vyaelea jua vimeundwa.
Vitu vinavyoelea viliundwa kwa juhudi: mafanikio unayoyaona yalitokana na bidii.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua maelezo sahihi kulingana na kifungu hiki.Question 1
- Maneno ‘walifanya bidii mithili ya mchwa’ yametumia mbinu gani ya lugha?Question 2
- Kwa nini Maisha alipandishwa cheo kazini?Question 3
- Kasoro kubwa aliyokuwa nayo Maisha ilikuwaQuestion 4
- Fanaka alitumia mshahara wake kwa njia zifuatazo isipokuwaQuestion 5
- Kwa nini kiwanda kilifungwa?Question 6