CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 47
Chagua nahau yenye maana ya kushirikiana.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nahau
47. Chagua nahau yenye maana ya kushirikiana.
- AChana mbuga
- BTilia upando
- CTia fora
- DChanga bia
Answer
D. Changa bia
Kuchanga bia ni kuchangia pamoja kwa ajili ya jambo moja. Kuchana mbuga ni kukimbia, na kutia fora ni kufanya vizuri kupita wengine.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Kauli 'mwakio ni sungura' ina maana kuwa,Question 48
- Wavulana sita walituzwa gwarideni kwa usafi wao. Neno lililoangaziwa ni aina ya,Question 49
- Chagua methali inayohimiza bidii kati ya zifuatazo.Question 50
- Chagua maelezo sahihi kulingana na kifungu hiki.Question 1
- Maneno ‘walifanya bidii mithili ya mchwa’ yametumia mbinu gani ya lugha?Question 2
- Kwa nini Maisha alipandishwa cheo kazini?Question 3