CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 46
Tamko lipi hutumiwa na watu wanapoagana bila matumaini ya kuonana kwa muda mrefu?
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Maamkuzi na Maagano
46. Tamko lipi hutumiwa na watu wanapoagana bila matumaini ya kuonana kwa muda mrefu?
- AKwaheri
- BSafari salama
- CInshallah
- DBuriani
Answer
D. Buriani
Buriani ni maagano ya mwisho, hasa kwa mtu anayeondoka kwa muda mrefu au anayekaribia kufa.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua nahau yenye maana ya kushirikiana.Question 47
- Kauli 'mwakio ni sungura' ina maana kuwa,Question 48
- Wavulana sita walituzwa gwarideni kwa usafi wao. Neno lililoangaziwa ni aina ya,Question 49
- Chagua methali inayohimiza bidii kati ya zifuatazo.Question 50
- Chagua maelezo sahihi kulingana na kifungu hiki.Question 1
- Maneno ‘walifanya bidii mithili ya mchwa’ yametumia mbinu gani ya lugha?Question 2