CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 45
Nomino 'kiwavi' na 'kipepeo' huorodheshwa katika ngeli ipi?
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli za Nomino
45. Nomino 'kiwavi' na 'kipepeo' huorodheshwa katika ngeli ipi?
- ALI-YA
- BA-WA
- CKI-VI
- DI-ZI
Answer
C. KI-VI
Kwa maumbo yao, kiwavi/viwavi na kipepeo/vipepeo ni KI-VI. Kwa kuwa ni viumbe hai, huchukua viambishi vya A-WA (kipepeo anaruka), kwa hivyo wengine huziweka katika A-WA.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Tamko lipi hutumiwa na watu wanapoagana bila matumaini ya kuonana kwa muda mrefu?Question 46
- Chagua nahau yenye maana ya kushirikiana.Question 47
- Kauli 'mwakio ni sungura' ina maana kuwa,Question 48
- Wavulana sita walituzwa gwarideni kwa usafi wao. Neno lililoangaziwa ni aina ya,Question 49
- Chagua methali inayohimiza bidii kati ya zifuatazo.Question 50
- Chagua maelezo sahihi kulingana na kifungu hiki.Question 1