CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 42
Bainisha sentensi yenye matumizi yafaayo ya koma.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Kuandika, Uakifishaji
42. Bainisha sentensi yenye matumizi yafaayo ya koma.
- AMwalimu wetu, ameingia darasani.
- BTafadhali, niletee maji, ya kunywa.
- CNilinunua mswaki, brashi, na dawa ya meno.
- DMbegu zote, zile zolizopandwa, zimechipuka.
Answer
C. Nilinunua mswaki, brashi, na dawa ya meno.
Koma hutenganisha vitu katika orodha: mswaki, brashi na dawa ya meno. Katika sentensi nyingine koma zinagawa maneno yanayopaswa kukaa pamoja.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Ukubwa wa neno ngazi niQuestion 43
- Tunasema kilinge cha wachawi lakini ___ cha barua.Question 44
- Nomino 'kiwavi' na 'kipepeo' huorodheshwa katika ngeli ipi?Question 45
- Tamko lipi hutumiwa na watu wanapoagana bila matumaini ya kuonana kwa muda mrefu?Question 46
- Chagua nahau yenye maana ya kushirikiana.Question 47
- Kauli 'mwakio ni sungura' ina maana kuwa,Question 48