CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 41
Kanusha sentensi hii. Meza ile imevunjika.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanushaji
41. Kanusha sentensi hii.
Meza ile imevunjika.
- AMeza ile haikuvunjika.
- BMeza ile haivunjiki.
- CMeza ile haijavunjika.
- DMeza ile haitavunjika.
Answer
C. Meza ile haijavunjika.
Wakati uliopita hali timilifu (-me-) hukanushwa kwa "-ja-": imevunjika → haijavunjika.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Bainisha sentensi yenye matumizi yafaayo ya koma.Question 42
- Ukubwa wa neno ngazi niQuestion 43
- Tunasema kilinge cha wachawi lakini ___ cha barua.Question 44
- Nomino 'kiwavi' na 'kipepeo' huorodheshwa katika ngeli ipi?Question 45
- Tamko lipi hutumiwa na watu wanapoagana bila matumaini ya kuonana kwa muda mrefu?Question 46
- Chagua nahau yenye maana ya kushirikiana.Question 47